SERIKALI YA UONGOZI CHINI YA RAIS SAMIA INA KIU KUONA UBANGUAJI...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Hamis Mwinjuma, amewahimiza Watanzania kuendelea na utamaduni wa kufanya mazoezi ili kuepuka magonjwa yasiyoambukiza na kuimarisha...
MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA YAMEKUWA TISHIO NCHINI
Na: WAF - Bugando, Mwanza
Watanzania wametakiwa kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi ili kuepuka kupata magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo saratani, kisukari na shinikizo la juu la...
TUSOMANE VITUONI NOVEMBA 27
Ni maneno yanayosomeka kwenye mabango yanayotumiwa na mashabiki mbalimbali wa Simba na Yanga (Watoto wa Mama) kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja...
BONANZA LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WILAYANI MKALAMA LAFANA
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe. Moses Machali amewataka wananachi wilayani Mkalama kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Mpiga Kura ili wawe na...
WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA HISANI JIJINI DAR
WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA HISANI ZA MAENDELEO BANK
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 07, 2024 ameshiriki katika mbio za hisani za Maendeleo Bank...
BENKI YA CRDB YAZINDUA MASHINDANO YA CRDB BANK SUPER CUP 2024
Benki ya CRDB imezindua rasmi msimu mpya wa mashindano ya mpira wa miguu na mpira wa pete yanayowahusisha wafanyakazi wake yanayotambulika kama “CRDB Bank...