SIMBA SC KUSHUKA DIMBANI LEO KUIKABILI NAMUNGO FC RUANGWA
Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba SC inatarajia kushuka Dimbani kuumana na timu ya Namungo FC ya Ruangwa katika mchezo wa Ligi kuu soka...
AZIZI KI MCHEZAJI BORA MECHI YA KMC NA YANGA SC
Kiungo mshambuliaji wa Dar es Saalm Young African's Aziz Ki amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, dhidi...
YANGA SC YARUDI KUONGOZA LIGI IKIICHAPA KMC 6-1
KLABU ya Wananchi Yanga SC, imeiadhibu vikali Klabu ya vijana wa Kino Boys KMC , magoli 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Soka ya...
BARRICK NORTH MARA KIDEDEA MECHI YA SOKA YA KIRAFIKI NA TIMU...
Wachezaji wa timu ya Barrick North Mara na Chuo kikuu cha Mwalimu Nyerere wakipata mawaidha kabla ya kuanza mechi ya soka ya kirafiki iliyofanyika...
SIMBA IMEREJEA KILELENI, KWA KUIZABA TANZANIA PRISONS BAO 3-0
Simba imerejea kwenye kilele cha Ligi ya NBC kwa kufikisha alama 47 baada ya kuwazaba Wajelajela, Tanzania Prisons kwa jumla ya mabao 3-0.
Mabao ya...
WATUMISHI WA MADINI WAHIMIZWA KUFANYA KAZI KWA BIDII.
Na Mwandishi Wetu
WATUMISHI wa Wizara ya Madini na Taasisi zake wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na uzalendo ili kulinda uchumi wa nchi usiweze kuathirika...