SERIKALI YAZITAKA SHULE KUTENGA MAENEO MAALUM YA MICHEZO.
Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Caroline Nombo akizungumza na wachezaji wa Netiboli wa mkoa...
TIMU YA YANGA YAILAZA RUVU SHOOTING 3-2 DIMBA LA MKAPA.
DAR ES SALAAM. Klabu ya Yanga imefanikiwa kuinyuka Ruvu Shooting kwa mabao 3-2 kwenye uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam ambapo...
PROF. MAKUBI ASHIRIKI BONANZA LA MAZOEZI JIJINI DAR.
DAR ES SALAAM.Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi leo ameshiriki Bonanza la Mazoezi ya kutembea lililoanzia Mlimani City Dar kwa ajili ya...
WAZIRI MKUU AIPONGEZA BENKI YA CRDB KWA KUANDAA BONAZA LA MICHEZO...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki mazoezi kwenye bonanza la michezo (CRDB Pamoja Bonanza),wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na Benki ya CRDB kwa...
STARTIMES NA K4S WAHAIDI KUBORESHA FURSA KWA VIJANA
DAR ES SALAAM.Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi K4S Biko Scanda amehaidi kushirikiana na Kampuni ya Startimes kidhati ili kuhakikisha hali ya kiusalama zaidi katika...
MAHAKAMA YA CAS KUSIKILIZA KESI YA YANGA DHIDI YA MORRISON JUNI...
MAHAKAMA ya Usuluhishi wa Kimataifa ya Michezo (CAS) imetupilia mbali pingamizi la winga Mghana, Bernard Morrison kutaka kesi iliyofunguliwa na Yanga dhidi yake itupwe.