TAKWIMU ZINAONESHA WATU 10 KATI YA 100 WANA KISUKARI.
Mkurugenzi msaidizi Kitengo cha Magonjwa yasiyoambukiza Dkt.James Kihologwe akizungumza wakati wa Mkutano wa Waratibu wa Magonjwa yasiyoambukiza kwa ngazi ya Mikoa 26 iliyoshiriki...
DKT. KABATI AHOJI ABIRIA WANAOATHIRIKA NA AJALI KUTOLIPWA FIDIA ZAO.
DODOMA.Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa (CCM), Dkt. Ritta Kabati ameitaka serikali kuchukua hatua kuhusu changamoto ya waathirika wa matukio ya ajali kukosa...
WATUMISHI WA WIZARA KUTOA KERO ZAO KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA- DODOMA
Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima akimkabidhi Cheti cha Utumishi Bora Mkurugenzi wa Kitengo Cha Sheria Bw. Merick Luvinga kwenye Banda lililopo ofisi za...
DKT. MPANGO APOKEA GAWIO LA SERIKALI LA BILIONI 21.7 KUTOKA NMB
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango kwa Niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
NIPE FAGIO YASISITIZA UMUHIMU WA MAZINGIRA SAFI NA SALAMA KWA WATOTO.
Mratibu Sera kutoka Taasisi isiyo ya kiserikali Nipe Fagio, Bi Veronica Hollela (Kulia) akizungumza kuitambulisha Taasisi wakati sherehe za kuadhimisha Siku ya Mtoto wa...
WATUMISHI 2555 KATI YA 2625 WAPANDISHWA VYEO NA MADARAJA JIJINI ...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe akiangalia horodha ya watumishi waliopandishwa madaraja na vyeo kwenye idara mbalimbali za Halmashauri ya Jijini...