LOCAL

Home LOCAL Page 815

MAJALIWA: TUTAENDELEA KUSIMAMIA BEI NZURI YA MAZAO.

0
DODOMA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia bei nzuri ya mazao...

MADIWANI WAASWA KUWA DARAJA KATIKA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI 2020-2025.

0
DODOMA.Madiwani wa watokanao na Chama Cha Mapinduzi nchini wameaswa kuwa daraja la utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020-25 kutokana na...

WIZARA YA AFYA KUJA NA MFUMO WA UFUAUTILIAJI WA WAJAWAZITO NCHI...

0
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima akisema jambo kwenye kikao kazi cha maandalizi ya mfumo wa ufuatiliaji...

JESHI LA POLISI LAWASHIKILIA WATU WAWILI KWA MAUAJI DODOMA.

0
DODOMA.JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu wawili kwa kufanya mauaji ya Samsoni Kikoti (56) kwa kutumia silaha aina ya Gobole pamoja  na silaha...

RAIS MWINYI AELEKEA MSUMBIJI KUHUDHURIA MKUTANO WA SADC

0
 Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, katika Uwanja wa Ndege wa...

BUPE MWAKANG’ATA ACHUKIZWA NA WIZI KATIKA MRADI WA MAJI NKASI, AITAKA...

0
DODOMA.Serikali imetakiwa kuchukua hatua kwa wezi wanaopelekea miradi ya maji hususani mradi wa Kabwe uliopo katika jimbo la Nkasi kutokukamilika kwa wakati licha ya...

POPULAR POSTS

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea LOCAL