Home LOCAL DK.HUSSEIN ALI MYINYI AMEKUTANA NA UONGOZI WA (ZIPA NA TIC)

DK.HUSSEIN ALI MYINYI AMEKUTANA NA UONGOZI WA (ZIPA NA TIC)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokutana na kwa mazungumzo na Uongozi wa Mamlaka ya kukuza Uwekezaji (ZIPA) pamoja na uongozi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)  leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi (kulia) leo amekutana  kwa mazungumzo na Uongozi wa Mamlaka ya kukuza Uwekezaji (ZIPA) pamoja na Uongozi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/07/2021.

Previous articleDKT. MWIGULU ATETA NA CHAMA CHA WATOA HUDUMA WA SIMU TANZANIA
Next articleMHE. RAIS SAMIA APOKEA TAARIFA YA UKAGUZI MAALUM YA MATUMIZI YA FEDHA ZILIZOTOLEWA NA BENKI KUU BOT PAMOJA NA TAARIFA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI INAYOTARAJIWA KUFANYIKA MWEZI AGOST 2022

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here