Home LOCAL MWILI WA MFUGALE WAAGWA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA, DODOMA

MWILI WA MFUGALE WAAGWA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA, DODOMA

Viongozi mbalimbali, watumishi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi pamoja na wafanyakazi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), wakitoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.

Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Marehemu Mhandisi Patrick Mfugale, likiwasili eneo maalum katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma kwa ajili ya kufanyiwa ibada na kupewa heshima ya mwisho na viongozi wa Serikali, watumishi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na waombolezaji wengine.    
Previous articleTWCC YAANZA KWA KISHINDO MAONESHO YA SABASABA, YAWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LAO.
Next articleDKT. MWIGULU ATETA NA CHAMA CHA WATOA HUDUMA WA SIMU TANZANIA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here