SERIKALI YATOA MAFUNZO YA UKUSANYAJI MAPATO KWA HALMASHAURI NNE JIJINI ARUSHA.
Katibu Tawala mkoa wa Arusha Athuman Kihamia akiongea na wanahabari baada ya kufungua mafunzo ya uboreshaji wa ukusaji mapato kwa halmashauri nne za mkoa...
PSSSF YAWANOA WASTAAFU WATARAJIWA JUU YA MATUMIZI SAHIHI YA FEDHA.
Meneja wa mafao mfuko wa hifadhi ya jamii kwa watumishi wa serikali(PSSSF) Mkehenge Ramadhani akiongea na waandishi wa habari katika semina yao kwa wastaafu...
KITUO CHA KUPOZA UMEME KUJENGWA KONGWA.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani(kulia) akizungumza na wakazi wa Kibaigwa wakati wa ziara yake ya kukagua miundombinu ya umeme katika Wilaya ya Kongwa...
RC MKIRIKITI: HALMASHAURI TEKELEZENI MIRADI YA MAENDELEO KWA UBORA
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti akishuka mlimani kutoka kukagua tenki la maji wakati alipotembelea mradi wa maji Kasekela kitongoji cha Kipenzi...
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA CHANJO YA UVIKO 19 JIJINI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionesha Cheti cha Uthibitisho wa Chanjo muda mfupi baada ya kuzindua...
KATIBU MKUU KIONGOZI ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA CHUO KIKUU MZUMBE KATIKA...
Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Mhandisi Zena Ahmed Said, akikaribishwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka...