LIPUMBA AWAPA NENO WAJUMBE MKUTANO MKUU CUF
Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amewaelekeza wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho kushiriki kikamilifu katika mchakato wa...
WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA MWENYEKITI WA ZAMANI WA CCM LIWALE
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa CCM Wilaya...
RAIS MWINYI: SERIKALI INAJIPANGA UJENZI WA MAGHALA YA CHAKULA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa Serikali inajipanga kwa Ujenzi wa Maghala ya Kuhifadhia Chakula ili...
RAIS SAMIA AFUNGUA SKULI YA SEKONDARI MISUFINI BUMBWINI ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati...
MRITHI WA KINANA KUPATIKANA JANUARI 19
BAADA ya kimya cha muda mrefu kuhusu nani anachukua nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) hatimaye leo Januari 7,2024 jibu...
TAASISI ZATAKIWA KUWASILISHA MAREJESHO RITA
Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Bw. Frank Kanyusi, ( katikati) akiwa kwenye picha ya...