WAFANYABIASHARA TUENDELEE KUWA NA IMANI NA RAIS SAMIA – MAJALIWA
▪️Ampongeza Kamishna TRA kwa kusimamia Weledi patika ukusanyaji wa kodi
▪️Atembelea kiwanda cha uchakataji mazao ya parachichi
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezitaka jumuiya za wafanyabiashara nchini...
VIONGOZI WA VIJIJI NA VITONGOJI MSIWARUHUSU WAGENI KUPORA ARIDHI – WASIRA
Na Mwandishi Wetu, Karagwe
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amewataka viongozi wa vijiji na vitongoji kutowaruhu wageni kutoka nchi jirani kuingia...
SAFARI YA MAFANIKIO YA NHC NA MIAKA MINNE YA UONGOZI WA...
Na Mwandishi Wetu,
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limekuwa chachu ya mageuzi makubwa katika sekta ya nyumba nchini Tanzania, likitimiza jukumu lake la kipekee...
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA WADAU WA SUKUK IKULU...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wadau wa SUKUK,Wafanyabiashara,Taasisi za Fedha na Mifuko ya Hifadh Jamii,...
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MITAMBO YA KUZALISHA OXYGEN KWA...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi mitambo ya kuzalisha oxygen kwa matumizi ya hospitali, kwenye kampuni ya Tanzania Oxygen Limited (TOL), Temeke...