RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati...
DOROTH SEMU ATANGAZA KUWANIA URAIS
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao.
Semu ametangaza nia hiyo leo Alhamisi Januari 16,...
KHAMIS MGEJA AWATAKIA KHERI WANA CCM KATIKA MKUTANO MKUU
Na Mwandishi Wetu,
Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja, amewatakia heri wana-CCM katika mkutano mkuu wa kushika mikoba...
RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CHAMWINO DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo...
NIDA YAJA NA MBINU MPYA KUHAKIKISHA VITAMBULISHO VANACHUKULIWA
Afisa Usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA) akihakiki fomu ya mwananchi ya maombi ya utambulisho wa Taifa kabla ya kuendele na hatua nyingine.
Mwananchi akichukuliwa...