BALOZI NCHIMBI ASAINI KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI MKUU 2025
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameshiriki katika utiaji saini wa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais,...
WADAU ZAIDI YA 500 KUSHIRIKI WIKI YA AZAKI 2025 MWEZI JULAI...
Kuelekea katika wiki hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa FCS Justice Rutenge amewahimiza wananchi kupaza sauti zao kwa kutoa maoni yatakayopelekea kupata dira bora kwa maendeleo...
TUME, SERIKALI NA VYAMA VYA SIASA KUSAINI MAADILI YA UCHAGUZI
Na. Mwandishi Wetu Dodoma
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, vyama vya siasa na Serikali kesho tarehe 12 Aprili, 2025 wanatarajiwa kusaini Kanuni za Maadili...
BALOZI NCHIMBI AKUTANA NA MWENYEKITI WA WABUNGE WA CCM, SPIKA WA...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
GAVANA BWANKU ATUMIA MKUTANO WA KIJIJI RWAGATI KUHIMIZA WANANCHI KULINDA AMANI...
_Awahakikishia Wananchi kwamba Uchaguzi upo mwaka huu 2025, awaeleza miradi mikubwa iliyotekelezwa na Serikali ya Rais Samia kwenye Kata yao ya Kemondo._
Jana Alhamisi Aprili...
JOWUTA. IFJ NA THRDC KUTOA MAFUNZO YA KURIPOTI UCHAGUZI MKUU
Mwandishi wetu,Dar es Salaam
Chama cha wafanyakazi katika vyombo vya habari nchini(JOWUTA) kwa kushirikiana na shirikisho la kimataifa la waandishi duniani(IFJ) na Mtandao wa watetezi...