SERIKALI YAHIMIZA ULINZI, UTULIVU SEKTA YA MAFUTA.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wito kwa wananchi kudumisha amani na kulinda miundombinu ya mafuta akisema jiji hilo...
SALAMU ZA PONGEZI KWA MHESHIMIWA HAMZA SAIDI JOHARI
Chama cha Mawakili wa Serikali kinatoa pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Hamza Saidi Johari kwa kuteuliwa tena kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uteuzi huu...
OTHMAN AANZA ZIARA YA KUKUTANA NA WAFUASI WA ACT WAZALENDO PEMBA
Na Mwandishi Wetu, Pemba
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ambaye pia alikuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, ameanza ziara...
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati...
RAIS DKT. SAMIA AMUAPISHA HAMZA JOHARI KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye hafla...










