WABUNGE WAITAKA WIZARA YA FEDHA IIWEZESHE TAMISEMI ITEKELEZE MAJUKUMU YAKE
Dodoma
WABUNGE mbalimbali wameipongeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa ufanisi wao ambao wamekuwa wakiufanya katika kuhakikisha miundombinu,...
DKT NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUNDA.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Bunda, aliposimama kuwasalimia, akiwa njiani kuelekea Musoma,...
ULEGA ATOA SIKU 30 KWA MKANDARASI BARABARA YA NSALAGA – IFISI...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa siku 30 na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa upanuzi wa barabara ya Nsalaga -...
SALAMU NA UJUMBE WA RAIS DKT,SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE SIKUKUU YA...
Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Pasaka ambapo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo.
Siku hii njema ikawe pia...
SONGEA WAOMBA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA SARATANI UWE ENDELEVU.
Na Mwandishi wetu
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wameiomba Wizara ya Afya kupitia Taasisi ya Saratani (Ocean Roads) na kampeni ya...
WASIRA- CCM HAITAKUWA NA NAMNA YA KUWASAIDIA WABUNGE WALIOSHINDWA KUFANYA VIZURI...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa CCM Mjini...