WAZIRI TABIA ASHIRIKI MATEMBEZI KUAZALIWA RAIS SAMIA
Mkoa wa Kusini Unguja.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita ameshiriki katika matembezi ya kuadhimisha kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa...
YALIYOJIRI LEO JANUARI 27, 2025 WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefungua mkutano wa Kimataifa wa Nishati unaowakutanisha Viongozi mbalimbali wa Afrika, Mashirika ya...
WAZIRI MHAGAMA KWENYE MKUTANO WA NISHATI
Na; WAF – Dar es Salaam
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akikagua mabanda ya hospitali maalum zilizotengwa kwa ajili ya kuhudumia wageni wa Mkutano...
HERI YA SIKU YA KUZALIWA MHE. RAIS
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limemtakia heri ya siku ya kuzaliwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,...
SERIKALI IKO TAYARI KUSHIRIKIANA NA WADAU MAPAMBANO DHIDI YA MARBURG- DKT...
Na WAF, Kagera
Mganga mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ameshukuru kwa utayari ambao wameuonesha Wadau Sekta ya Afya katika kupambana na mlipuko wa...
NEMC YAIPONGEZA EACOP KWA KUHIFADHI IKOLOJIA YA MTO SIGI
Na Mwandishi Wetu, Tanga
BODI ya Wakurugenzi ya Baraza la Usimamizi la Mazingira la Taifa (NEMC) imeupongeza uongozi wa kampuni ya Bomba la Mafuta Ghafi...