WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA NANSIO-UKEREWE MKOANI MWANZA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 25, 2025 amewasili mkoani Mwanza ambapo ataelekea Nansio-Ukerewe kwa ziara ya siku moja.
Akiwa katika kisiwa hicho Mheshimiwa Majaliwa...
HUDUMA ZA CHANJO ZATOLEWA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 95 NCHINI
Na. WAF, Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Afya imewafikia walengwa wa huduma za chanjo nchini kwa zaidi ya asilima 95 kwa kutekeleza na kuimarisha afua...
DK.MPANGO: SERIKALI IMEDHAMIRIA KUFANYA MAGEUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA MICHEZO KWA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Serikali zote mbili chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
WAZIRI MKUU: SERIKALI KUENDELEZA MABONDE NCHINI
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea na mpango wa kuyaendeleza mabonde nchini kwa kuyatumia kutoa huduma za kijamii ikiwemo upatikanaji wa maji...
DKT- NCHIMBI AKIKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE...
.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa...