WASIRA ATAKA VIKAO CCM VIJADILI SHIDA ZA WATU
Na; Mwandishi Wetu, Bunda
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameagiza vikao vya Chama kuzungumza mambo yanayowahusu wananchi kwa lengo...
WIZARA YA ARDHI YAWAJENGEA UWEZO WADAU WA MRADI WA UIMARISHAJI MIUNDOMBINU...
Na; Mwandishi wetu
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Kuimarisha Miundombinu ya Upimaji na Ramani (LDI) imeendesha semina ya kuwajengea uwezo wadau wa mradi...
KATAMBI: MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII IMEENDELEA KUTOA HUDUMA KIDIJITALI
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi (Mb) akijibu swali Bungeni leo tarehe 31 Januari,...
BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA SHERIA YA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA KAZI
Na; Mwandishi Wetu – Dodoma
BUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Kazi wa Mwaka 2024 (The Labour Laws (Amendments) Bill, 2024)...
RAIS SAMIA ALA CHAKULA APMOJA NA WAOKOAJI JENGO LA KARIAKOO
Matukio mbalimbali katika picha wakati wa halfa ya chakula cha mchana pamoja na washiriki wa zoezi la uokoaji wa ajali ya kuporomoka kwa jengo...
WANANCHI TANGA WABARIKI MAAMUZI YA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA
Na: Mwandishi Wetu, Tanga
Wananchi wa Tanga wamebariki kwa asilimia 100 azimio la Mkutano Mkuu wa CCM Taifa lililompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa...