ENTERTAINMENTS
WASANII AFRIKA KUKUTANA TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA ZANZIBAR
Na Mwandishi wetu.
WASANII kutoka Bara nzima la Afrika wanatarajia kukutana kwenye jukwaa moja na kuonesha vipaji vyao katika Tamasha la Sauti za Busara 2025...
HII NDIO SABABU ELIMU PEKEE HAIWEZI KUKUSAIDIA KUPATA AJIRA
Miaka kadhaa nyuma elimu ilionekana kuwa njia pekee ya uhakika ya kufanikiwa maishani, uwa na degree (shahada) kulithaminiwa sana lakini watu wachache sana walikuwa...
NILIVYOMREJESHA MUME TULIYEACHANA KWA TABIA
Jina langu Beatrace, wakati namtambulisha mchumba wangu kwa marafiki zangu na familia, wengi hawakukubaliana na mimi, walikuwa wananishangaa kwanini nataka kuolewa na mwanaume ambaye...
JINSI MUME ALIVYOMUOKOA MKEWE KUFANYIWA UPASUAJI KIPINDI AKIJIFUNGUA
Kutana na kijana Efeso Mwenda kutoka Busia nchini Kenya, alipatwa na hali ya kuhuzunisha pale mke wake mjamzito alipopata matatizo wakati wa kujifungua.
Alikuwa amempeleka...
AJABU KUBWA, MAMA ANATAKA KUFANYA MAPENZI NA MTOTO WAKE!
Kuna siku kulijitokeza kisa cha kushangaza mtandaoni baada ya kijana mmoja, Moses, 19, kudai kuwa mama yake bado anamchukulia kama mtoto mdogo, anasema kutokana...
MSAMA; WANAOTUMIKA KUMCHAFUA GEOR DEVIE WAACHE MARA MOJA
DAR ES SALAAM
Mkurugenzi wa Msama Promotions na Dira TV Tanzania ALEX MSAMA, amewataka watu wote wenye lengo la kumchafua na kuharibu jina la Nabii...