ENTERTAINMENTS
Video Mpya : MUGGA MO Ft. PREZBEATS – BABA
Hii hapa video mpya ya Msanii Mugga Mo akimshirikisha Prezbeats wimbo unaitwa Baba . Video hii imetengenezwa na Director Dave Skerah
VIKUNDI 32 KUNOGESHA TAMASHA LA 13 LA MUZIKI WA KIGOGO 2022
Na: Mwandishi Wetu, Chamwino.
ZAIDI ya vikundi 32 vya Sanaa ya ngoma vinatarajia kushiriki Tamasha la msimu wa 13 la muziki wa Wagogo (Cigogo Music...
MISS TANZANIA HALIMA AHMAD KOPWE ASHIRIKI UZINDUZI KAMPENI YA UZAZI NI...
NA: MWANDISHI WETU
MISS Tanzania Halima Ahmad Kopwe ameshiriki uzinduzi wa kampeni ya Uzazi ni Maisha iliyo andaliwa na shirika la Amref Tanzania pamoja na...
KUNDI LA BNA KUWASHA MOTO JUALAI 9 SINGIDA
NA: MWANDISHI WETU
KUNDI la wanenguaji la BNA linatarajiwa kutoa burudani katika mkusanyiko wa wanafunzi wa sekondari wanaosoma mchepuo wa Sayansi mkoani Singida Julai 9,...
TANZANIA KUWA MWENYEJI TUZO ZA (MAMA) MTV AFRICA MUSIC AWARD 2023
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kufanya mazungumzo na makamu wa Rais na meneja mkuu wa Paramount Africa and...









