Home ENTERTAINMENTS HARMONIZE,KAJALA MASANJA WAVALISHANA PETE YA UCHUMBA

HARMONIZE,KAJALA MASANJA WAVALISHANA PETE YA UCHUMBA

MSANII wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ’Harmonize’ kumvalisha pete ya uchumba msanii wa Bongo Movie, Kajala Masanja.


Tukio hilo limefanyika leo Jumamosi Juni 25, 2025 hoteli ya Serena na kulipa jina la ‘Late Lunch’ huku likihudhuriwa na watu wa karibu wa wasanii hao ukiwemo uongozi wa lebo ya Konde Gang, Mkurugenzi wa TV E, Francis Ciza ’Majizo’.
 Harmonize amesema wamepitia mengi na msanii huyo na anashukuru hatua hiyo waliyofikia.


Aidha amesema kwa wasiojua yeye na Kajala wamejuana zaidi ya miaka saba iliyopita tangu akiwa hana pa kulala mpaka kupata mafanikio aliyonayo leo.


“Mimi na Kajala tuna historia ndefu, tulijuana miaka saba iliyopita nililala kwake nikiwa sina pa kulala mpaka leo mnaponiona hapa,” amesema Harmonize

Kwa upade wake Kajala ammesema “Hakuna asiyejua tuliyoyapitia, pia mimi sio mkamilifu so nikaona kwa nini nisimsamehe, Harmonize nahaidi  nitakupenda leo kesho hadi milele”. amesema Kajala

Previous articleMAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI UFUNGUZI WA M KUTANO WA JUMUIYA YA MADOLA JUNE 24
Next articleBASHUNGWA AIPONGEZA YANGA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA NBC 2021/2022.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here