WAKANDARASI MRADI WA NHC SAMIA HOUSING SCHEME DODOMA WATAKIWA KUONGEZA KASI...
DODOMA
-Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dkt. Sophia Kongela amewataka wakandarasi na timu ya ujenzi ya mradi...
ABSA WAJIONEA MAAJABU MIRADI YA NHC DAR ES SALAAM
Tarehe 10 Oktoba 2025, timu ya wataalamu kutoka Benki ya ABSA Tanzania ilifanya ziara ya kikazi katika miradi mikubwa ya makazi inayotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa...
MIVUTANO YA MADIWANI YACHELEWESHA AHADI YA DKT.SAMIA UJENZI WA SOKO LAMADI
Mgombea wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kutotekelezwa kwa ahadi...
TANZANIA YAONGOZA KWA UKARIMU ENDELEVU- DKT.PINDI CHANA
Na: Hughes Dugilo, Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana, amesema kuwa sekta ya utalii imeendelea kuimarika kutokana na kuongezeka kwa...
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO WIZARA YA MADINI
⬛Aitaka ifuatilie kampuni zilizoshika maeneo bila kuyaendeleza_
⬛Aipongeza kampuni ya Huaer International kwa uwekezaji._
⬛Asisitiza uwekezaji huo ni utekelezaji wa Maono ya Rais Dkt. Samia_
WAZIRI MKUU,...
BENKI YA ABSA TANZANIA KUENDELEA KUWAWEZESHA WAJASIRIAMALI WENGI ZAIDI NCHINI
Meneja Huduma za Jamii na Matukio wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (kulia), akizungumza na baadhi ya wanawake wajasiriamali, wanachama wa taasisi...










