WATAALAM KUTOKA CUBA WATEMBELEA KRETA YA NGORONGORO KUTAFUTA SULUHU YA MIMEA...
Na Philomena Mbirika, Ngorongoro
Ujumbe wa wataalam kutoka jamhuri ya Cuba wakiambatana watalaam wa uhifadhi kutoka Wizara ya Maliasilii na Utalii wametembelea bonde la kreta...
BARRICK YACHANGIA SHILINGI TRILIONI 3.6 PATO LA SERIKALI KWA KIPINDI CHA...
Meneja wa Barrick nchini, Dk.Melkiory Ngido akitoa taarifa ya utendaji wa Barrick na Twiga kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati...
ELIMU YA FEDHA MKOMBOZI WA KIUCHUMI KIJIJI CHA KIHURIO SAME
Mwenyekiti wa Kata ya Kihurio, Bw. Rafaeli Tomasi akichangia mada kuhusu masuala ya fedha na umuhimu wa kusajili vikundi vya kutoa huduma ndogo za...
NFRA KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA SUKARI
Na Mwandishi Wetu
WAKALA wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula (NFRA) umesema umejipanga vizuri kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini endapo kutajitokeza upungufu wa...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA FALME YA SAUDI...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Falme ya Saudi Arabia kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini...
RAIS DK. HUSSEIN MWINYI AMUAPISHA KAMISHNA MKUU MPYA WA ZRA
Rais Dkt. Hussein Mwinyi akumuapisha Bw. Said Kiondo Athmani kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (ZRA), ambapo mara baada ya kuapishwa kwake apokelewa...