BRELA YAFANYA USAJILI WA MOJA KWA MOJA NA KUTOA VYETI ...
Bi Eugenia Mkumbo (kushoto) akipokea cheti cha mabadiliko ya usajili wa jina la biashara kutoka umiliki binafsi kwenda umiliki wa kampuni kutoka kwa Afisa ...
WAZALISHAJI WA CHAKULA WAMETAKIWA KUZINGATIA USALAMA WA CHAKULA KATIKA UTAYARISHAJI.
Afisa Usalama wa Chakula Mwandamizi wa TBS, Bi.Imakulata Justin akizungumza na waandishi wa habari leo kuelekea Siku ya Chakula Salama Duniani, katika...
WATAALEM SEKTA YA MANUNUZI WAASHWA KUWA WAADILIFU.
Naibu Karibu Mkuu wizara ya fedha na mipango Khatib Kazungu akifungua kongamano la 8 la PPRA kwa niaba ya waziri wa fedha na mipango...
WATANZANIA MSINUNUE BIDHAA BILA KUHAKIKI ALAMA YA UBORA YA TBS: DKT....
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt Yusuph Ngenya akizungumza na waandishi wa habariNA: OSCAR ASSENGA, TANGA.MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Viwango...
TANZANIA NA KENYA ZAKUBALIANA KUONDOA VIKWAZO 30 VYA BIASHARA VISIVYO VYA...
Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania Prof. Kitila Mkumbo na Waziri wa Viwanda, Biashara na Maendeleo ya Wajasiliamali nchini Kenya, Mhe. Betty...
ACHENI KUNG’ANG’ANIA KUFANYA BIASHARA MOJA: ANGELINA NGALULA.
Mwenyekiti wa TPSF Angelina Ngalula akizungumza wakati wa mkutano wa mwezi ulioandaliwa na TWCC Jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa TWCC Taifa Mercy Silla...