MCHECHU: MABADILIKO KWA TAASISI ZA UMMA NI SAFARI INAYOZINGATIA UFANISI NA...
Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, Akizungumza katika Mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) unaofanyika katika Chuo cha...
NIRC WASAINI MKATABA WA BILIONI 17 UKARABATI SKIMU ZA UMWAGILIAJI BONDE...
NIRC, Monduli
SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa...
DKT. BITEKO ATETA NA JUMUIYA YA WASAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI...
*Awashukuru kwa mchango wao utekelezaji Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia
* Ataka LPG ipatikane kwa wingi hadi ngazi ya Vijiji
* Ahimiza Tanzania kuwa kitovu...
FCS, STANBIC WASAINI MAKUBALIANO KUWAINUA WAJASIRIAMALI MAENEO YA MIPAKANI
Mkurugenzi Mtendaji wa The Foundation for Civil Society (FCS)Justice Rutenge, Akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya kutiliana saini makubaliano ya miaka miwili...
MARAIS SABA KUKUTANA DAR KUJADILI KAHAWA
Na Mwandishi Wetu
WAKUU wa nchi saba, kati ya 25 zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (G-25), wanatarajiwa kushiriki mkutano wa tatu zao hilo utakaofanyika kuanzia Februari...
NIMEMKOPESHA MUME MSHAHARA AKANUNUA GARI ALA BADO ANANITESA
Muda mfupi baada ya kuolewa, mume wangu aliniambia nikope mshahara wangu wote, nilikataa lakini niliishia kipigo, tena akiniambia kuwa mimi ni mbinafsi, sitaki kumpa...