MAJALIWA: ACTIF 2025 ITOE MAJIBU YA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA NA UWEKEZAJI.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) linapaswa kuja na majibu...
WAZIRI NDEJEMBI AITAKA NHC KUELEKEZA KASI UJENZI WA MIRADI YA SAMIA...
Dar es Salaam, 28 Julai 2025
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, leo ametembelea makao makuu ya Shirika la...
NHC YATEKELEZA MRADI WA KIPEKEE, WA KISASA TABORA
Na: Hughes Dugilo, Tabora
Katika kuendelea kutimiza ndoto za makazi bora kwa Watanzania, Shirika la Nyumba la Taifa, (NHC), linatekeleza mradi mpya wa kisasa wa...
MCHANGANYIKO BOLT YAZINDUA KIPENGELE CHA ‘Family Profile’ KURAHISISHA SAFARI
on Bolt yazindua kipengele cha ‘Family Profile’ kurahisisha safari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam
KATIKA kipindi ambacho matumizi ya teknolojia yamekuwa yakikua kwa kasi...
DKT.JOHN JINGU AWAHIMIZA WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA ZA MIKOPO ZINAZOTOLEWA NA...
Na. WMJJWM- Karatu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu amewahimiza wananchi wilayani Karatu mkoani Arusha...
WAZIRI WA MADINI ANTHONY MAVUNDE AMETEMBELEA UJENZI WA GHOROFA PACHA TCG...
Bilioni 33 kukutumika kukamilisha Jengo la ghorofa pacha-TGC Arusha
Biashara ya madini kufanyika kwenye Jengo
Ni mkakati wa uongezaji thamani madini ya vito
Wachimbaji Arusha wamshukuru Rais...










