SINGAPORE NA TANZANIA ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI.
Serikali ya Singapore na Tanzania zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo na kiuchumi kupitia sekta mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa bandari, utalii, sekta ya fedha, usafirishaji,...
KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI...
Waziri Mavunde aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kusindika na Kuyeyusha Nikeli na Shaba – Dodoma
Ni maelekezo ya Mhe. Rais Samia kuyaongezea thamani madini...
NHC YATUNUKIWA TUZO MASHIRIKA YA UMMA YENYE UFANISI
Arusha.
Arusha. Mashirika ya Umma yaliyofanya vizuri katika mwaka wa fedha 2023/24 yamekabidhiwa tuzo maalum na Ofisi ya Msajili wa Hazina katika hafla rasmi...
MASHIRIKA YA UMMA YATAMBULIWA KWA UFANISI
Arusha.
Mashirika ya Umma yaliyofanya vizuri katika mwaka wa fedha 2023/24 yamekabidhiwa tuzo maalum na Ofisi ya Msajili wa Hazina katika hafla rasmi iliyofanyika...
BODI YA BIMA YA AMANA YAPATA MKURUGENZI MKUU
Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Bima ya Amana (DIB) imemteua Bw. Isack Nikodem Kihwili kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Bima ya Amana...
SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MGODI NYANDOLWA.
NA.MWANDISHI WETU - NYANDOLWA SHINYANGA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Mhe. William Lukuvi, amemfikishia Rais wa Jamhuri ya...










