NEEMA ADRIAN
JESHI LA POLISI LINATARAJIA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI...
Jeshi la Polisi nchini linatarajia kuadhimisha kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania inayojulikana kama ‘Siku ya Jeshi la Polisi...
BRELA IMEFANYA KIKAO NA WADAU KUHUSU MKATABA WA SHERIA YA KIMATAIFA...
Dar-es-Salaam Wakala wa usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imefanya kikao Cha mashauriano ya wadau kuhusu mkataba wa Sheria ya Kimataifa ya (WIPO) ya...
WAHANDISI WATAKIWA KUENDANA NA KASI YA MABADILIKO YA TEKNOLOGIA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa rai kwa Wahandisi nchini kuendana na kasi ya mabadiliko ya Teknolojia mbalimbali ikiwemo ya Akili Mnemba kutoa suluhu...
RC CHALAMILA ATAKA WAKAZI WA JIMBO LA UBUNGO KUUNGA MKONO JUHUDI...
-Asema Rais Samia ametoa pesa nyingi za kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.
-Atembelea na kukagua Soko la ndizi mabibo, ujenzi wa barabara KM 0.3 Makoka...
STARTIMES KUENDELEA KUUNGA MKONO LIGI YA CHAMPIONSHIP
KAMPUNI ya Startimes imesema itaendelea kuunga mkono Ligi ya Championship ili kuwapa nafasi vijana kuonesha vipaji na kujiuza kimataifa.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam...
WAZIRI MKUU AMEFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Agosti 13, 2024 amezungùmza na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa. Mazungumzo hayo ambayo pia yamehudhuriwa na...