NEEMA ADRIAN
TAWA KUENDELEA KUTUMIA MABOMU BARIDI KUDHIBITI WANYAMA WAKALI NA WAHARIBIFU
Yagawa mabomu baridi 2,567 Kwa Kanda 7 kuimarisha zoezi la kufukuza tembo.
Na. Joyce Ndunguru, Morogoro.
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA, imegawa mabomu...
SERIKALI ITAENDELEA KUTOA FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA MIRADI-MAJALIWA.
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye sekta...
NAIBU WAZIRI MKUU APONGEZA TUME YA MADINI KWA UKUSANYAJI WA MADUHULI
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amepongeza Tume ya Madini kwa kuendelea kuvuka lengo la ukusanyaji wa maduhuli na kusisitiza...
WAZIRI MKUU AZINDUA BWALO NA BWENI SHULE YA SEKONDARI KIBASILA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na viwango vya ujenzi wa bweni na bwalo kwenye shule ya Sekondari ya Kibasila iliyopo Wilaya ya Temeke...
TAWA YAMDHIBITI MAMBA ALIYEZUA TAHARUKI BUCHOSA
Kijiji cha Kahunda charindima Kwa nderemo na vifijo
Na. Beatus Maganja
Maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini - TAWA kwa kushirikiana na wananchi wa...
WAZIRI MKUU ASISITIZA MATUMIZI WA MIFUMO YA KIELOTRONIKI KATIKA MAKUSANYO
Ataka fedha za ndani zitumike katika kutekeleza miradi ndani ya halmashauri.
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka maafisa masuhuli kwenye Halmashauri zote nchini waweke msisitizo wa...