NHC
Home Authors Posts by Joseph Nelson

Joseph Nelson

Joseph Nelson
934 POSTS 0 COMMENTS

RAIS SAMIA KUTARAJIWA KUWA MGENI RASMI BARAZA LA IDDI MWAKA HUU.

0
Na: MWANDISHI WETU.Baraza la Waislam nchini  Bakwata, limetangaza kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Iddi mwaka huu, atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

MEYA KUMBILAMOTO AWAPONGEZA JIJI KWA HATI SAFI

0
Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam Omary Kumbilamoto akimkaribisha Mkurugenzi wa jiji hilo Jumanne Shauri katika futari iliyoandaliwa na Meya Jana,...

RC KUNENGE AFUTURISHA MAKUNDI MBALIMBALI YA WANANCHI DAR, MUFTI WA TANZANIA...

0
DAR ES SALAAM.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge leo May 10 amefuturisha Makundi Mbalimbali ya Wananchi wakiwemo Walemavu wa Viungo,...

MAGAZETI YA LEO J.NNE MEI 11-2021

0
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.

WATU WENYE MATATIZO YA UGUMBA WAIOMBA JAMII ISIWATENGE.

0
Picha ya Maktaba.Na: Mwandishi Wetu, Mtimbira.HOTUBA iliyosomwa na jamii ya watu wenye matatizo ya ugumba katika Kata ya Mtimbira wilayani Malinyi,Mkoa wa Morogoro  imemtoa ...

HALMASHAURI YA MALINYI KUWAKAMATA WAVAMIZI BONDE LA MAJI LA MWALIMU NYERERE.

0
Na: Mwandishi Wetu Malinyi.HAlMASHAURI  ya Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro imesema, imeanza harakati za kuwakamata waliovamia hifadhi ya Bonde la Maji la Mwalimu Nyerere...

POPULAR POSTS

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea Joseph Nelson