HUGHES DUGILO
WIZARA YA AFYA YAREJESHA USIMAMIZI WA UJENZI WA MIRADI YA HOSPITALI...
NA: WAMJW- DOM. WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imerejesha usimamizi wa ujenzi wa miradi ya Hospitali za Rufaa za mikoa...
BRELA YAWAHUDUMIA WANANCHI ZAIDI YA 200 NA KUTOA LESENI ZA BIASHARA...
Ofisa Usajili wa BRELA Ruth Mmbaga (wa pili kushoto) akimkabidhi Leseni ya Biashara Dkt. Hamis Mahuna (wapili kulia) mara baada ya kufika katika Banda...
FAMILIA NCHINI ZAASWA KUDUMISHA UPENDO WANANDOA WATAKIWA KUISHI MAISHA YA SALA
Na: Maiko Luoga, KILIMANJARO. Familia za kikristo nchini zimeaswa kuishi kwa umoja, mshikamano na upendo zikitanguliza maombi yake kwa Mungu ili zijaliwe maisha mema...
WIKI YA KAMPENI YA USAFI KUZINDULIWA MARA
Na: Mwandishi wetu, MARA.MKOA wa Mara unatarajiwa kuzindua Wiki ya Kampeni ya Usafi wa Mazingira, Kesho asubuhi ambayo ni mwendelezo wa mpango uliyoasisiwa na...
TRA: TUNAKUSANYA KODI KWA HAKI, WELEDI.
Mkurugenzi wa Elimu ya Mlipa kodi wa TRA, Richard Kayombo amesema Mamlaka hiyo inaendelea kutelekeza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...