ENNA SIMION
DKT. KIJAJI: USHINDI WA TUZO ZA UTALII DUNIANI NI MATUNDA YA...
Na Philipo Hassan – Dodoma
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameeleza kuwa Tanzania kuibuka mshindi wa Tuzo mbalimbali za...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE AIPONGEZA TARURA KUBORESHA BARABARA ZA WILAYA.
Arusha
Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kuleta mchango mkubwa kwenye sekta ya uchukuzi...
“WATUMISHI WA MAENDELEO YA JAMII TUWAJIBIKE” – MHE.MARYPRISCA
Na Jackline Minja WMJJWM-
Dodoma.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka watumishi wa Kituo cha...
SERIKALI YAENDELEA KURASIMISHA UJUZI WA VIJANA – Prof. MKENDA
Na Lilian Ekonga………….
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema Serikali inaendelea kuimarisha utaratibu wa kurasimisha ujuzi wa vijana waliopata stadi...







