ENNA SIMION
SERIKALI IMETEKELEZA MIRADI MINGI SEKTA YA AFYA-DKT. BITEKO
Azindua Jengo la Kisasa la Upasuaji Sengerema DDH na Mradi wa Umeme wa Jua
Ahimiza wananchi kutunza miundombinu ya hospitali
Ataja mageuzi makubwa...
WAJUMBE WA BODI NIRC WAAAHIDI USHIRIKIANO KWA MWENYEKITI MPYA WA BODI
NIRC Dodoma
Wajumbe wa Bodi ya Uongozi na Menejimenti ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Dkt. Richard...
REA YATOA KIPAUMBELE UJENZI MIRADI YA NISHATI JADIDIFU
Vijiji 32 vyenye wateja zaidi ya 8,000 vimeunganishiwa umeme
REA imeuwezesha mradi wa Mwenga Hydro shilingi bilioni 16.6
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kipaumbele kwenye...
WAZIRI JAFO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA COMESA NCHINI BURUNDI
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani S. Jafo leo tarehe 31 Oktoba 2024 amemuwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Wakuu...
WADAU WA MAENDELEO TUSHIRIKIANE UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BIMA YA AFYA...
Na WAF, Arusha.
Rai imetolewa kwa wadau wa maendeleo ya Sekta ya Afya kushirikiana pamoja na Serikali katika kufanikisha utekelezaji wa mpango wa Bima ya...
“UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA VIJANA BALEHE NI MSINGI WA TAIFA BORA”-DKT...
NA. MWANDISHI WETU - DODOMA
Serikali imejidhatiti kutatua changamoto zinazowakumba vijana balehe kwa kuweka mazingira salama na rafiki kwa vijana kupitia afua mbalimbali zinazowawezesha vijana...