Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martin Shigela (mwenye shati la Kitenge) akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Rasilimali watu wa Kampuni ya uchimbaji Madini ya Dhahabu ya BUCKREEF Amelda Msuya (kushoto) wakati Mkuu huyo wa Mkoa alipofanya ziara katika Banda la Kampuni hiyo Octoba 2,2022 kujionea shughuli wanazofanya katika Maonesho ya tano ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika Mkoani GeitaÂ
Meneja Rasilimali watu wa Kampuni ya uchimbaji Madini ya Dhahabu ya BUCKREEF Amelda Msuya (wa pili kulia) akielezea Shughuli zinazofanywa na Kampuni yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martin Shigela (kulia) aliyetembelea Banda lao katika Maonesho ya Madini Mkoani Geita. (wa kwanza kulia) ni, Meneja Rasilimali watu wa BUCKREEF Domilitila Mang’ondi, na (wa tatu kushoto) Afisa usalama wa Mgodi huo Charles Kafuku.
Picha ya pamojaÂ