Kundi la tatu lilikuwa la vijana wa kiume kwanzia chuo na kuendelea amabao hawajaowa walifundishwa na na Mchungaji wa vijana Gidion Mwangosi juu ya kijana anacho paswa kufanya unapotaka kuingia kwenye ndoa.
Nyama choma ikiandaliwa tayari kwa kuliwa na vijana hao.
Kundi la vijana wa kiume wa vyuo na kuendelea amabao hawajaoa wakifundishwa na Mchungaji wa Vijana Gidion Mwangosi juu ya kijana anachopaswa kufanya anapotaka kuingia kwenye masuala ya ndoa. |
Vijana mbalimbali wa Kanisa hilo wakiendelea na zoezi la kula nyama huku wakimsikiliza mafundisho mbalimbali.kutoka kwa watoa mada mbalimbali.