Mvumbuzi wa kifaa malum cha mfumo wa jua na Elimu na Sayansi ya Anga Ernest Malanya akielezea namba ambavyo kifaa hicho kinavyoweza kufanyakazi na kumsaidia mwanafunzi kupata Elimu hiyo. |
Mvumbuzi wa kifaa malum cha mfumo wa jua na Elimu na Sayansi ya Anga Ernest Malanya akionesha kitabu alichokiandaa Kwaajili ya kufundishia. |
Na: Hughes Dugilo, Dar es Salaam.
Mwana Sayansi na Mbunifu wa vifaa mbalimbali vya kisayansi kutoka Chuo cha VETA Chang’ombe Ernest Malanya amefanya uvumbuzi maalum unahusu Elimu ya mfumo wa jua na Sayansi ya anga utakaowasaidia wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari kujua namna mfumo huo unavyoweza kufanya kazi.
Mvumbuzi huyo ameyasema hayo ndani ya Banda la VETA katika maonesho ya 45 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa uvumbuzi huo utahamasisha vijana waliopo mashuleni kujua Elimu ya Sayansi ya anga na kwamba itaongeza hamasa kupenda somo la Sayansi.
Aidha Mvumbuzi huyo ameongeza kuwa ubunifu huo unatambulika rasmi na Serikali na mamlaka husika nakwamba umepitishwa kutumika kufundishia na kuongeza kuwa hayo yametokana na mapendekezo ambayo yalitolewa na serikali ambapo ilimtaka kufanya hivyo.
“Serikali linitaka kupeleka miongozi ambayo itawezesha kufundishia darasani na muongozo huo ni wa vitabu ambao utakuwa unawaongoza walimu kuweza kufundishia wanafunzi hivyo muongozo huu umekamilika na nimeshakabidhi na kinachoendelea sasa ni kuchapisha vitabu vya kutosha ili kuweza kutumika.”amesema.
Na David John
Mwana Sayansi na Mbunifu wa vifaa mbalimbali vya kisayansi kutoka Chuo cha VETA Chang’ombe Ernest Malanya amefanya uvumbuzi maalum unahusu Elimu ya mfumo wa jua na Sayansi ya anga utakaowasaidia wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari kujua namna mfumo huo unavyoweza kuifanya kazi.