Home BUSINESS KUTANA NA MWANA SAYANSI ERNEST MALANYA KUTOKA VETA MVUMBUZI WA KIFAA CHA...

KUTANA NA MWANA SAYANSI ERNEST MALANYA KUTOKA VETA MVUMBUZI WA KIFAA CHA SAYANSI YA JUA NA ANGA

Mvumbuzi wa kifaa malum cha mfumo wa jua na Elimu na Sayansi ya Anga Ernest Malanya akielezea namba ambavyo kifaa hicho kinavyoweza kufanyakazi na kumsaidia mwanafunzi kupata Elimu hiyo.
Mvumbuzi wa kifaa malum cha mfumo wa jua na Elimu na Sayansi ya Anga Ernest Malanya akionesha kitabu alichokiandaa Kwaajili ya kufundishia.

Na: Hughes Dugilo, Dar es Salaam.

Mwana Sayansi na Mbunifu wa vifaa mbalimbali vya kisayansi kutoka Chuo cha VETA Chang’ombe Ernest Malanya amefanya uvumbuzi maalum unahusu Elimu ya mfumo wa jua na Sayansi ya anga utakaowasaidia wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari kujua namna mfumo huo unavyoweza kufanya kazi.

Mvumbuzi huyo ameyasema hayo ndani ya Banda la VETA  katika maonesho ya 45 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa uvumbuzi huo utahamasisha vijana waliopo mashuleni kujua Elimu ya Sayansi ya anga na kwamba itaongeza hamasa kupenda somo la Sayansi.

Aidha Mvumbuzi huyo ameongeza kuwa ubunifu huo unatambulika rasmi na Serikali na mamlaka husika nakwamba umepitishwa kutumika kufundishia na kuongeza kuwa hayo yametokana na mapendekezo ambayo yalitolewa na serikali ambapo ilimtaka kufanya hivyo.

“Serikali linitaka kupeleka miongozi ambayo itawezesha kufundishia darasani  na muongozo huo ni wa vitabu  ambao utakuwa unawaongoza walimu kuweza kufundishia wanafunzi  hivyo muongozo huu umekamilika na nimeshakabidhi na kinachoendelea sasa ni kuchapisha vitabu vya kutosha ili kuweza kutumika.”amesema.

 “kifaa hiki ni andalio la msingi kwa vizazi vyetu hasa nchi za afrika katikakufanya utafiti wa kina kuhusu sayansi ya anga na hapa awali kulikuwa kunafundishwa kwa nadhalia lakini sasa watafanya wa vitendo kuazia elimu ya mdsingi hadi  vyuo vikuu” Ameongeza.

Na David John

Mwana Sayansi na Mbunifu wa vifaa mbalimbali vya kisayansi kutoka Chuo cha VETA Chang’ombe Ernest Malanya amefanya uvumbuzi maalum unahusu Elimu ya mfumo wa jua na Sayansi ya anga utakaowasaidia wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari kujua namna mfumo huo unavyoweza kuifanya kazi.

Mvumbuzi huyo ameyasema hayo ndani ya Banda la VETA  katika maonesho ya 45 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa uvumbuzi huo utahamasisha vijana waliopo mashuleni kujua Elimu ya Sayansi ya anga na kwamba itaongeza hamasa kupenda somo la Sayansi.

Aidha Mvumbuzi huyo ameongeza kuwa ubunifu huo unatambulika rasmi na Serikali na mamlaka husika nakwamba umepitishwa kutumika kufundishia na kuongeza kuwa hayo yametokana na mapendekezo ambayo yalitolewa na serikali ambapo ilimtaka kufanya hivyo.

“Serikali linitaka kupeleka miongozi ambayo itawezesha kufundishia darasani  na muongozo huo ni wa vitabu  ambao utakuwa unawaongoza walimu kuweza kufundishia wanafunzi  hivyo muongozo huu umekamilika na nimeshakabidhi na kinachoendelea sasa ni kuchapisha vitabu vya kutosha ili kuweza kutumika.”amesema.

 “kifaa hiki ni andalio la msingi kwa vizazi vyetu hasa nchi za afrika katikakufanya utafiti wa kina kuhusu sayansi ya anga na hapa awali kulikuwa kunafundishwa kwa nadhalia lakini sasa watafanya wa vitendo kuazia elimu ya mdsingi hadi  vyuo vikuu” Ameongeza

Previous articleMAGAZETI YA LEO IJUMAA JULAI 2-2021
Next articleCHUO CHA UALIMU WA UFUNDI STADI MOROGORO CHALETA TEKNOLOJIA MPYA YA KUTOA MAFUNZO YA UMEME.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here