Home BUSINESS MAKAMU WA RAIS KATIKA BANDA LA BoT MAONESHO YA NANENANE MBEYA

MAKAMU WA RAIS KATIKA BANDA LA BoT MAONESHO YA NANENANE MBEYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, akisalimiana na Naibu Gavana, Bw. Julian BanzI Raphael, alipotembelea banda la BoT kwenye Maonesho ya Wakulima (Nane Nane) yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.

Naibu Gavana, Bw. Julian BanzI Raphael, akizungumza na Meneja Mawasiliano BoT, Bi. Victoria Msina, alipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania kwenye Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya. Kulia ni Meneja Idara ya Fedha na Utawala Tawi la BoT Mbeya, Bw. Agathon Kipandula.

Afisa kutoka Kurugenzi ya Huduma za Kibenki BoT, Bi. Neema Hashim, akitoa elimu kuhusu historia ya noti na sarafu za Tanzania kwa wananchi waliotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania kwenye Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.

Mchambuzi Mkuu wa Mifumo ya Malipo kutoka Kurugenzi ya Mifumo ya Malipo ya Taifa, Bw. Nestory Maro, akifafanua jambo kwa mwananchi alietembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania kwenye Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.

Afisa Sheria Mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Ustawi na Ujumuishi wa Huduma za Fedha, Bw. Ramadhani Myonga, akielezea jambo kwa mwananchi alietembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania kwenye Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya. Kushoto ni Mchumi kutoka Kurugenzi ya Ustawi na Ujumuishi wa Huduma za Fedha BoT, Bw. Lucas Magazi. 

     
Afisa Benki kutoka Kurugenzi ya Usimamizi wa Sekta ya Fedha, Bw. Andrea Chimbotela, akizungumza na mwananchi alietembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania kwenye Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.

Previous articleMAKAMU WA RAIS AFUNGUA NANENANE 2023 MBEYA
Next articleWAZIRI NAPE NNAUYE AKAGUA UJENZI WA MINARA YA SIMU JIMBONI MTAMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here