Home LOCAL WAZIRI NAPE NNAUYE AKAGUA UJENZI WA MINARA YA SIMU JIMBONI MTAMA

WAZIRI NAPE NNAUYE AKAGUA UJENZI WA MINARA YA SIMU JIMBONI MTAMA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye akikagua ujenzi wa minara ya simu jimboni kwake Mtama Kata za Navanga, Sudi na Nachunyu. Minara hii imeanza kuwashwa leo Julai 1, 2023 na kuna jumla ya minara 13 ambayo imaeshajengwa katika jimbo hilo.
Previous articleMAKAMU WA RAIS KATIKA BANDA LA BoT MAONESHO YA NANENANE MBEYA
Next articleRAIS WA ALGERIA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA WAZIRI TAX
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here