Home SPORTS SIMBA SC ILIVYOTUA JIJINI MWANZA KUIVAA RUVU

SIMBA SC ILIVYOTUA JIJINI MWANZA KUIVAA RUVU

MABINGWA watetezi, Simba SC wamewasili salama Jijini Mwanza kwa ndege jioni ya leo kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji wa muda, Ruvu Shooting Jumamosi Uwanja wa CCM Kirumba.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here