
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
MABINGWA watetezi, Simba SC wamewasili salama Jijini Mwanza kwa ndege jioni ya leo kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji wa muda, Ruvu Shooting Jumamosi Uwanja wa CCM Kirumba.