Home LOCAL RAIS MHE. DKT. SAMIA AZINDUA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA...

RAIS MHE. DKT. SAMIA AZINDUA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUHUSU RASILIMALI WATU (AFRICA HEADS OF STATE HUMAN CAPITAL SUMMIT)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria uzinduzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Mei, 2023. Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu unatarajiwa kufanyika tarehe 25-26 Julai, 2023 Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Mabalozi pamoja na Wageni mbalimbali kutoka Nje ya nchi kabla ya kuzindua Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Mei, 2023. Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu unatarajiwa kufanyika tarehe 25-26 Julai, 2023 Jijini Dar es Salaam.

Viongozi, Mabalozi pamoja na Wageni mbalimbali kutoka Nje ya nchi wakiwa kwenye uzinduzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Mei, 2023. Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu unatarajiwa kufanyika tarehe 25-26 Julai, 2023 Jijini Dar es Salaam.

Previous articleMAONESHO YA SABASABA YANATOA FURSA KWA WAJASIRIAMALI KUJITANGAZA – AGATHA
Next articleRAIS SAMIA AFUNGUA RASMI OFISI YA RAIS IKULU CHAMWINO, DODOMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here