Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Makuyuni Wilaya ya Monduli alipowasili Mkoani Arusha kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi kutembelea na kukaguwa miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi tarehe 23 Novemba, 2022.