Home LOCAL  ZIARA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYANI MONDULI

 ZIARA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYANI MONDULI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Makuyuni Wilaya ya Monduli alipowasili Mkoani Arusha kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi kutembelea na kukaguwa miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi  tarehe 23 Novemba, 2022.