Home LOCAL RAIS WA SUDAN KUSINI AWASILI NCHINI KUSHIRIKI MKUTANO WA 24 WA WAKUU...

RAIS WA SUDAN KUSINI AWASILI NCHINI KUSHIRIKI MKUTANO WA 24 WA WAKUU WA NCHI ZA EAC

Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe. Salva Kiir akimpa mkono wa Heri Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb.) mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Novemba 30, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 24 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijini Arusha tarehe 29 na 30 Novemba 2024

…………..

Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe. Salva Kiir amewasili nchini leo tarehe 30 Novemba 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 24 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijini Arusha tarehe 29 na 30 Novemba 2024.

Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)Mhe. Salva Kiir amepokelewa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb.)

Mkutano huo wa Wakuu wa Nchi
umetanguliwa na Kikao cha Ngazi ya Juu kuadhimisha miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yenye kaulimbiu isemayo “Miaka
25 ya EAC: Tafakari ya tulikotoka na matarajio ya tunapokwenda”

Previous articleOFISI YA MSAJILI WA HAZINA YANGA’RA TUZO ZA NBAA
Next articleMGODI WA BARRICK NORTH MARA WASHINDA TUZO KUBWA ZA MWAJIRI BORA 2024
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here