Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MH DKT. MWINYI...

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MH DKT. MWINYI APOKEA WAGENI MBALIMBALI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa Mikocheni nyumbani kwa baba yake akiendelea kupokea mkono wa pole kutoka kwa Rais Mstaafu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea jana tarehe: 29 Februari 2024.

Previous articleWAFANYA BIASHARA WAKUMBUSHWA KUHUSU DHANA YA WAMILIKI MANUFAA
Next articleMULILO ATANGAZA NJIA UTAKAPOPITA MWILI WA RAIS MSTAAFU HAYATI ALI HASSAN MWINYI KWENDA UWANJA WA UHURU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here