Home LOCAL Dkt. NCHIMBI AKISALIMIANA NA DIAMOND MSIBANI KWA MZEE RUKSA

Dkt. NCHIMBI AKISALIMIANA NA DIAMOND MSIBANI KWA MZEE RUKSA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana, kuzungumza na kufurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Group Ndg. Nasib Abdul Isack (Diamond platinumz), ambaye pia ni mmoja wa wasanii nyota na maarufu wa Mziki wa Bongo Fleva na mfanyabiashara, walipokutana baada ya mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Hayati Alhaj Ali Hassan Mwinyi, huko Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar.

 

Previous articleRAIS SAMIA AWATAKA WATANZANIA KUYAISHI MAISHA YA HAYATI MWINYI
Next articleUBALOZI WA USWISI, AMEND WAENDELEA KUTOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI,HUDUMA YA KWANZA KWA MADEREVA BODABODA JIJINI TANGA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here