Home BUSINESS KAMATI YA PIC YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA JENGO LA PSSSF COMMERCIAL COMPLEX

KAMATI YA PIC YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA JENGO LA PSSSF COMMERCIAL COMPLEX

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), wakitembelea Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro Machi 27, 2024. Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa kwa ubia Kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Halmashauri ya Manispaaya Morogoro
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), wakitembelea Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro Machi 27, 2024. Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa kwa ubia Kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Halmashauri ya Manispaaya Morogoro
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), Mhe.Augustine Vuma, akizungumza baada ya ziara
ya kamati kutembelea na kukagua Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro
Machi 27, 2024. Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa kwa ubia Kati ya Mfuko wa
Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Halmashauri ya Manispaaya
Morogoro
Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji PSSSF, Bw.Rashid Mtima,
akizungumza mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC) baada
ya ziara ya kamati kutembelea na kukagua Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani
Morogoro Machi 27, 2024. Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa kwa ubia Kati ya
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Halmashauri ya
Manispaaya Morogoro
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi
wa Umma (PSSSF), Bw. Abdul-Razaq Badru, akitoa taarifa ya utekelezaji Mradi wa Kituo
Kikuu cha Mabasi Msamvu 
mkoani Morogoro, mbele ya Kamati ya Kudumu
ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), 
Machi 27, 2024, Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa
kwa ubia Kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na
Halmashauri ya Manispaaya Morogoro
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bw. Abdul-Razaq Badru, akitoa taarifa ya utekelezaji Mradi wa Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro, mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), Machi 27, 2024, Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa kwa ubia Kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Halmashauri ya Manispaaya Morogoro. Wengine pichani ni Bw. Thobias Makoba (katikati) na Bw. Rashid Mtima, Makamu Mwenyekiti Kamati ya Uwekezaji PSSSF.     
Meneja Uhusiano na Elimu kwa Wanachama PSSSF, Bw.
James Mlowe akizungumza mbele ya wajumbe wa kamati.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji
Mitaji ya Umma (PIC).
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji
ya Umma (PIC), Dkt. Pius Chaya (katikati) akizungumza.
Baadhi ya watendaji wa PSSSF. 

 

 

 

Previous articleTCCIA MANYARA YATOLEA UFAFANUZI JUU YA ALIYEHUKUMIWA KUGHUSHI NYARAKA KUWA SIO MUAJIRIWA WAO KWASASA.
Next articleTANZANIA NA HUNGRY KUSHIRIKIANA KATIKA USAFIRI WA ANGA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here