Home BUSINESS WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA JENGO LA WAKALA...

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA JENGO LA WAKALA WA VIPIMO TANZANIA (WMA)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA).

Ujenzi wa jengo hilo utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 6.17 na linatarajiwa kukamilika ifikapo Januari 2025.

Dodoma-Tanzania
Februari 06, 2024

Previous articleMAJALIWA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA NMB
Next articleDkt. NCHIMBI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM MAKAO MAKUU NA JUMUIYA ZAKE DODOMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here