Home BUSINESS MAJALIWA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA NMB

MAJALIWA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA NMB

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna. Pamoja na mambo Mengine Mheshimiwa Majaliwa amepongeza mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Benki hiyo kwa hesabu za Mwaka 2023.

Kwa upande wake Bi.Zaipuna ameshukuru na kupongeza ushirikiano wanaoupata kutoka kwa Serikali pamoja na mazingira bora ya utendaji ya biashara ambayo yamechangia ukuaji wa benki hiyo.

📍Dodoma, Tanzania
🗓️Februari 06, 2024

Previous articleMAAMBUKIZI YA VVU YAMEPUNGUA KUTOKA 7% MWAKA 2003/04 HADI 4.4% MWAKA 2022/23 KWA TANZANIA.
Next articleWAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA JENGO LA WAKALA WA VIPIMO TANZANIA (WMA)
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here