Home LOCAL Dkt. NCHIMBI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM MAKAO MAKUU NA JUMUIYA ZAKE...

Dkt. NCHIMBI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM MAKAO MAKUU NA JUMUIYA ZAKE DODOMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na watumishi wa CCM Makao Makuu pamoja na jumuiya zake, Jumuiya ya Wazazi, Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), kwenye Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Dodoma, Jumanne, Februari 6, 2024. Wengine meza kuu, ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM – Bara, Ndugu Anamringi Issay Macha na Katibu wa NEC, Fedha na Uchumi, Dkt. Frank George Haule Hawasi.

Baadhi ya Watumishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makao Makuu, pamoja na jumuiya zake, Umoja wa Wazazi, Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), wakimsikikiza na kufuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, wakati wa kikao na watumishi hao, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), jijini Dodoma, Jumanne, Februari 6, 2024.

Previous articleWAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA JENGO LA WAKALA WA VIPIMO TANZANIA (WMA)
Next articleHIFADHI YA MIKUMI YAWA BAMBAM KWA UTALII
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here